BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA WA MWAKA 2022 BUNGENI

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akihitimisha hoja kabla ya kupitishwa kwa Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2022, Bungeni jijini Dodoma.Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akifafanua hoja wakati wa kupitisha Muswada wa Sheria ya Fedha Wa Mwaka 2022, Bungeni jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Naibu wake, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakijadiliana jambo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe wakati wa kupitisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2022, Bungeni jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Naibu wake, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakipongezwa na baadhi ya wabunge akiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Joyce Ndalichako, baada ya kupitishwa kwa Muswada Wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2022, Bungeni jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Wazara hiyo, Bw. Lawrence Mafuru, baada ya kupitishwa kwa Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2022, Bungeni jijini DodomaNaibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akipongezwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo, baada ya kupitishwa kwa Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2022, Bungeni jijini DodomaWaziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akipongezwa na Mkuu wa Idara ya Sheria kutoka wizara hiyo, Bw. Elias Kimati, baada ya kupitishwa kwa Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2022, Bungeni jijini Dodoma.


(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha na Mipango, Dodoma)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments