CHONGOLO AWA KIONGOZI WA PILI KUTEMBELEA MAKUMBUSHO GITEGA BURUNDI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akionyeshwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD Ndugu Ntakarutimana Joseph mahala ambapo Mama Maria Nyerere alisaini Kitabu cha Kumbukumbu tarehe 7 Mei, 1963 mara baada ya kutembelea Jumba la Makumbusho Gitega .

Katibu Mkuu anakuwa Kiongozi wa pili kutembelea jumba la makumbusho Gitega nchini Burundi.

Post a Comment

0 Comments