Recent-Post

Gilbert Minja akizungumza na wataalam kutoka Wizara ya Nishati alipotembelea Banda la Wizara ya Nishati wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar- es- Salaam (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam


 Meneja wa kampuni ya E-Motion Africa inayoshughulika na ubadilishaji wa mifumo ya Magari inayotumia Mafuta kwenda kwenye mfumo wa uendeshaji magari unaotumia Nishati ya Umeme iliyopo jijini Arusha, Mha. Gilbert Minja akizungumza na wataalam kutoka Wizara ya Nishati alipotembelea Banda la Wizara ya Nishati wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar- es- Salaam (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere tarehe 29, Juni 2022..

Post a Comment

0 Comments