IKUNGI YAMPONGEZA RAIS SAMIA YAPOKEA PIKIPIKI 32 KWA MAAFISA UGANI KILIMO

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry C. Muro leo Tarehe 15/06/2022 amemshukuru Mheshimiwa Rais. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia maafisa ugani wote 32 kupatiwa pikipiki mpya za kisasa katika wilaya ya ikungi

Dc Muro amesema hayo wakati wa zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa maafisa ugani ambapo amesema lengo la pikipiki hizo ni Kuwawezesha maafisa ugani wa kilimo kutoa huduma za ugani kwa wakati kwa wakulima wa vijiji vyote 101 katika wilaya ya ikungi


Imetolewa na ofisi ya mkuu wa wilaya ya ikungi.

 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments