MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA IKULU YA CHAMWINO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Muonekano wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelzo kutoka kwa Katibu Mkuu Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments