MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UFUNGUZI WA M KUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA JUNE 24


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 24 Juni 2022 akisalimiana na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mheshimiwa Patricia Scotland wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kigali kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya za Madola (CHOGMU 2022) unaoendelea Kigali nchini Rwanda. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 24 Juni 2022 akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya za Madola (CHOGMU 2022) unaoendelea Kigali nchini Rwanda.

Post a Comment

0 Comments