Recent-Post

MAMA APORWA MWANAE NA NYANI MKOANI KIGOMA(MWAMGONGO) BHUYEMBEYEMBE

Kundi la Nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia.


Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema tukio hilo limetokea Juni 18, 2022 katika kijiji  Cha Mwamgongo (Bhuyembeyembe) Wilayani Kigoma

Post a Comment

0 Comments