WIZARA YA NISHATI YAWASILISHA BAJETI YA TRILIONI 2.9 BUNGENI

Wizara ya Nishati imeliomba Bunge kuwaidhinishia Sh2.905 trilioni katika mwaka wa fedha 2022/2023 huku Sh 2.823 trilioni ikielekezwa katika miradi ya maendeleo.
 Picha Na Timotheo Kamugisha Dodoma
Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba akiwasilisha bungeni Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2022/2023.

 Picha Na Timotheo Kamugisha Dodoma
Waziri wa Nishati Mhe.January Makamba ( wa sita upande wa kulia ) akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ( wa tano upande kushoto), wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wageni mbambali nje ya ukumbi wa Bunge.

                                      Picha Na Timotheo Kamugisha Dodoma

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Bw. Kheri Mahimbali ( wa nne kutoka kushoto, akisalimiana na wadau mbalimbali wa Sekta ya Nishati nje ya ukumbi wa bunge mara baada Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023.

 Picha Na Timotheo Kamugisha Dodoma
Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba akiwa kwenye picha na baadhi ya Watendaji wa Wizara na Taasisi zake mara baada ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023.
 Na Timotheo Kamugisha Dodoma





 




TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments