MATUKIO; WAZIRI MKUU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUANIANI

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo akipokea kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan Tuzo ya Mazingira kwa viongozi wakuu wa Serikali kutoka kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, yaliyofanyika Kitaifa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, Juni 5, 2022. kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Zlatan Milisic 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, yaliyofanyika Kitaifa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma , Juni 5, 2022.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua  Mpango Kabambe wa Uhifadhi wa Mazingira, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 5, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo na kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Zlatan Milisic
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha Mpango Kabambe wa Uhifadhi wa Mazingira baada ya kuuzindua, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 5, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo na kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Zlatan Milisic (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments