Recent-Post

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mpinduzi ( CCM ) kilichokutana leo tarehe 21 Juni 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments