Mwenyekiti wa UVCCM - Singida Dr. Denis Nyiraha awapa Nguvu Vijana baada Ya Kuwashawisi kugombea nafasi mbali mbali Zinazojitokeza Mbele Yaoa Kauli alisema Wakati akizungumza na Wanahabari Mkoani Singida, Dr Denis Nyiraha amesisitiza suala zima La Vijana Kujiamini na kugombea nafasi mbalimbali zinazojitokeza.
-
Aidha alisisitiza juu ya Kuwatetea na Kuwajengea Uwezo Vijana wote ambao watakuwa tayari Kujitokeza kugombea nafasi yoyote ndani ya Chama cha Mapinduzi.
Aidha alisisitiza juu ya Kuwatetea na Kuwajengea Uwezo Vijana wote ambao watakuwa tayari Kujitokeza kugombea nafasi yoyote ndani ya Chama cha Mapinduzi.

“Nitakuwa Kijana wa Mwisho Kuwatetea Vijana Wenzangu, nitakuwa kijana wa Mwisho kuchoka kumtetea Kijana Mwenzangu anayegombea nafasi yoyote ile ambayo mimi nipo kwenye Mamlaka yake” >> Alisema Dr. Denis Nyiraha.
0 Comments