RAIS SAMIA AZINDUA AWAMU YA TATU YA UPANUZI KIWANDA CHA SUKARI KAGERA SUGAR LIMITED.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akikata utepe huku akiwa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (wakwanza kulia, Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (wapili kulia), Viongozi wa Kiwanda cha Sukari, Kagera Sugar Limited, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jeberali Charles Mbuge (mwenye tai ya Blue) wakati akizindua Awamu ya tatu ya upanuzi wa Kiwanda cha Sukari Kagera Sugar sambamba na Kituo Cha kupoza umeme Megawati 20 zitakazotumika kiwandani hapo huko wilayani Missenyi leo Juni 9, 2022.



Post a Comment

0 Comments