Recent-Post

TEMBO WAUA MZEE WA MIAKA 72 WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Tembo watatu wamevamia katika kijiji cha Mlumbi kata ya Mang'onyi na kusababisha kifo cha mwananchi aliefahamika kwa jina la MAGHIYA NTUI LIMU mwenye umri wa miaka 72 kabila mnyaturu



Nimefika kwenye eneo la tukio pamoja na wenzangu kwanza kutoa pole kwa wafiwa pamoja na kutoa elimu ya kujihadhara na wanyama wakali kwa wananchi, nimeelekeza msako wa kuwaondoa tembo uanza aidha kwa kuwatoa au kuwaua ili wasilete madhara zaidi kwa wananchi wetu
IkungiYetu ,MajonziYetu
 

Post a Comment

0 Comments