Recent-Post

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASOMA HOTUBA YA KUAHIRISHA BUNGE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akienda mbele ya wabunge kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 7 wa Bunge la 12, bungeni jijini Dodoma, Juni 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 7 wa Bunge la 12, bungeni jijini Dodoma, Juni 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments