WIZARA YA MADINI KUTOA ELIMU KWA WACHIMBAJI NA WAZEE WA MILA ARUSHA

 WATAALAAM kutoka Wizara ya Madini leo Juni 3, 2022 watatoa semina maalum kwa wazee wa Mila wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwa ajili ya kuelemisha masuala mbalimbali itakayohusu Sekta ya Madini ikiwemo elimu ya Sheria ya Madini, Uchimbaji na usimamizi wa mazingira katika maeneo ya uchimbaji.


Aidha, watatoa elimu kuhusu ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini (Local Content) na Wajibu wa Makampuni kwa Jamii zinazonguka migodi (CSR).

NA DIRAMAKINI

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments