ZAINA FOUNDATION YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE


Mkurugenzi wa Taasisi ya Zaina Foundation Zaituni Njovu akiwasilisha mada ya ukatili wa wanawake mtandaoni , wakati akitoa mafunzo ya kuwajengea uwelewa waandishi wa habari wanawake juu ya usalama mtandaoni ,huko Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.Meneja wa Programu katika Taasisi ya Zaina Foundation, Farida akiwaelekeza washiriki wa mafunzo ya usalama mtandaoni baadhi ya programu zitakazowasaidia kuwaweka salama wakati wa matumizi ya mtandao ,huko Verde Mtoni Zanzibar.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments