ZIARA YA KAZI WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA SERIKALI MLANGONI

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry C. Muro kesho jumanne Tarehe 28/06/2022 atafanya ziara ya kazi katika kata ya Isuna kijiji cha Isuna B akiwa na wataalamu kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ikungi


Lengo ni kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo na kisha atafanya kikao cha ndani na halmashauri ya kijiji na kisha mchana mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi

*Karibuni wote wenye kero*
Imetolewa naa ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ikungi

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments