Kamisaa wa Sensa afikisha elimu mkoani Songwe

 

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Mhe. Anne Makinda akizungumza na wananchi wa Tunduma mkoa wa Songwe wakati wa ziara ya kuhamasisha wananchi kushiriki Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika tarehe 23 Agosti, 2022.

Post a Comment

0 Comments