KINANA ATINGA NDANI YA MAONESHO YA SABA SABA,AKUNWA NA UBUNIFU WA CHUO CHA VETA
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahmann Kinana akiwa ameshika mashine ya kupuchukulia mahindi iliyobuniwa na walimu kwa kushirikiana na wanafunzi katika Chuo Cha Ufundi VETA- Dodoma.Anayetoa maelekezo ni Mwalimu wa VETA Dodoma Filbart John Kingilisho, leo Julai 9,2022 baada ya kutembelea katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba mkoani Dar es Salaam. (PICHA NA FAHADISIRAJI WA CCM)

Post a Comment

0 Comments