Recent-Post

MCHEZAJI WA SIMBA PAPE OSMANE SAKHO AKARIBISHWA MISRI

 

Balozi wa Tanzania nchini Misri Mhe. Emmanuel John Nchimbi akiwa na mchezaji wa Simba Pape Osmane Sakho, aliyebeba tuzo ya kiatu cha dhahabu cha mfungaji wa bao bora la Africa 2022 na Barbara Gonzalez Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Cairo Misri.

Post a Comment

0 Comments