RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI AKIWEMO MKUU WA JESHI LA POLSI MPYA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Boti maalum katika bandari ya Mkokotoni kuelekea Wilaya Ndogo Tumbatu leo,pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayou Mohamed Mahmoud,akiendelea na ziara yake ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kutemelea na kuweka mawe ya msingi miradi mbali mbali ya maendeleo.
[Picha na Ikulu] 20/07/2022.

Post a Comment

0 Comments