Rais Samia Suluhu Hassan Akutana Na Kuzungumza Na Wazee Wa Mkoa Wa Kusini Pemba

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud, wakati alimpomtembelea nyumbani kwake Utaani Wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe 16 Julai, 2022.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na makundi mbalimbali ya Wazee Kisiwani Pemba katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Wilaya ya Chakechake mkoa wa Kusini Pemba tarehe 16 Julai, 2022.

 Sehemu ya Wazee, Viongozi wa vyama vya Siasa pamoja na Viongozi wa dini wakiwa kwenye kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Kisiwani Pemba tarehe 16 Julai, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments