SHEREHE ZA UFUNGUZI WA MAONESHO YA 17 YA ELIMU YA JUU SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mfano wa jengo, kwenye banda la Chuo Kikuu cha Ardhi, wakati alipofungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam .


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza Watendaji wa Wizara ya Elimu na Tume ya Elimu ya Juu Tanzania (TCU), baada ya kufungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam . Julai 19, 2022. Kutoka kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Charles Kihampa, Mwenyekiti wa Bodi Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Penina Muhando na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Profesa James Mdoe.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia ndege isiyokua na rubani inayotumika kupiga picha za anga kwa ajili ya kuandaa ramani za msingi zinazowezesha kupanga miji, wakati alipofungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam .Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kompyuta mpakato inayotumia mwanafunzi ya Chuo Kikuu Huria, mwenye uono hafifu Bernadeta Msigwa kwa kuandikia vitabu, wakati alipofungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam .Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea ngao ya shukrani kwa kufungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam . Julai 19, 2022. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Charles Kihampa.

  
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika ufunguzi wa Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam . Julai 19, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments