Ngwigulu Nyerere Shigela Ni .Makamu mwenyekiti Tanzania Youth Eliet Community (TYEC)Na mratibu Sisi Tanzania Wilaya Ya Manyoni Pia Mjumbe Wa Baraza La Vijana Wilaya Ya Manyono Mkoani Singida Ni Miongoni Mwa Vijana Walichukua Form Ya Kugombea Wenyekiti Wa Vijana(UVCCM) Mkoa wa Singida
Na Haya Ni Baadhi Ya Mambo Aliyoyafanya
*Kampeni ya COVID19 ilipotangazwa tu kuwa tanzania imeingia
*vifungashio mbadara ndani ya mkoa wa singinda na nje ya mkoa
*.semina za ujasiliamar mikoa mingi na tunaendelea tanzania
*Tuzo kwa wabunge wanaopigania vijan kwenye maeneo yao mkoa wa Kigoma uvinza,arusha,na nk
*Tuzo kwa wadau wa Maendeleo katika nchi yetu.
0 Comments