SINGIDA YAPAMBA MOTO DEREVA AVUTA FOMU KUWANIA UENYEKITI UVCCM MKOA WA SINGIDA

Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Singida Vaileth Soka , akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida Yusuph Hamiss Daffi Makao Makuu ya CCM mjini hapa leo. Daffi ni Dereva wa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu.

Post a Comment

0 Comments