Recent-Post

WANANCHI WAMETAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI AUGUST 23 MWAKA HUU.

Wananchi Wametakiwa Kushiriki Kikamilifu Katika Zoezi La Sensa Ya Watu  Na Makazi Linalotarajiwa Kufanyika  Tarehe 23 Mwezi   Wa Nane Mwaka Huu Katika Taifa  La Tanzania

Kauli Hiyo Imesema Na  Mjumbe Wa Halmashauli Kuu Mnec Wa Mkoa Wa Singida  Yohana Msita Wakati Wa Zoezi La Kuchukuwa Form Za Kugombea Nafasi Hiyo Katika Jengo La Ccm Mkoani Singida.

Mjumbe Wa Halmashauli Kuu Mnec Wa Mkoa Wa Singida  Yohana Msita
Bw. Yohana Msita amesema  Zoezi La Sensa  Na Makazi Linatowa Fulsa Kwa Serikali Kupanga Na Kuleta Maendelea Kwa Wananchi Kulingana Na Idadi Yao ,Hivyo Amewaomba Wananchi Kushiriki Na Kutoa Taarifa Sahihi ilikuweza Kuifanya Serikali Kuwaletea Maendeleo katika Nyanja Mbali Mbali Kwenye  Jamii Na Taifa Kwaujumla.Mjumbe Wa Halmashauli Kuu Mnec Wa Mkoa Wa Singida  Yohana Msita
                     
Na Abdul Bandola Singida

Post a Comment

0 Comments