WANAOTUMIA CHEO NA JINA LA KATIBU MKUU WA CCM KUTAPELI WATAHADHARISHWA ,WAKIBAINIKA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo anautahadharisha umma wa Watanzania kuwa makini na matapeli wa mtandaoni wanaotumia jina lake na dhamana ya cheo chake.

#CCMImara
#KaziIendelee

Post a Comment

0 Comments