SIMBA SC YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-0, MZUNGU ATUPIA BONGE LA BAO

 Klabu ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi Kuu NBC, mchezo ambao ulichezwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam


Simba Sc imeweza kupata mabao 2-0 ambayo yalifungwa na mastaa wao Moses Phiri pamoja na mshambuliaji wao Dejan Georgjevic.

Mpaka Mapumziko Simba Sc ilikuwa inaongoza kwa bao 1-0 ambalo lilifungwa baada ya Okrah kupiga mpira wa adhabu ambao ulimshinda goli kipa Kipao na Moses kufunga

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments