UMISETA SINGIDA IMEPAMBA MOTTO KATIKA VIWANJA VYA MWENGE SEKONDARY.

Michezo ya Shule Ya Sekondary Kwa Ngazi Ya Mkoa (UMISETA) Singida Imeanza leo Katika Viwanja Vya Mwenge Sekondary Katika Manispaa Ya Singida Kwa Kuzishilikisha Halmashauli Zote Za Mkoa Wa Singida.

Afisa Michezo Wa Mkoa Wa Singida Bw. Amani Mwaipaja Amesema kuwa Michezo Hiyo Itaendelea Tena Kesho Katika Viwanja Vya Mwenge na Kuwaomba Wadau Mbali Mbali Wa Michezo Kujitokeza Katika Viwanja Hivyo ilikujionea Vipaji vilivyo sheheni Mkoani Singida.

Kwa Upande Wa Chama Cha  Mpira Wa  Miguu Mkoa Wa Singida  Bw. Hamisi Kitila Ambae Ni Mwenyekiti Wa Chama Hicho  Ameeleza Kuwa Michezo Ya Sekondary (UMISETA)Ndio Kiwanda Kikubwa  Kinachoweza Kuliwezesha Taifa kuendelea Kupata Wanamichezo Bora Na Kuunda Timu Zenye Ushindani Katika Taifa Letu.

Bw.Hamisi Kitila Amesema Kuwa Singida Kuna Vipaji Vingi Katika Michezo Mbali Mbali Na Leo Ameshuhudia Ushindani Mkubwa Katika Michezo Mbali Mbali Iliyoendelea Leo Katika Viwanja Vya Mwenge Sekondary ,Hivyo Amewaomba Wadau Mbali Mbali Wa Michezo Kujitokeza Katika Vinja Vya Mwenge Sekondary Ilikojionea Vipaji Vikubwa Vilioko Mkoani Singida.


                             

Tukutane Kesho Hapa Hapa Na Kwa Kupitia Mitandao Yetu Tutakuletea Matoke Mbali Mbali Ya Michozo Hiyo Inayoendelea Katika Viwanja Vya Mwenge Secondary.

 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments