VIONGOZI WA CAF, FIFA WACHEZA MECHI YA KIRAFIKI

 


Mechi ya kirafiki ya viongozi wa CAF, FIFA na watumishi wa vyama vys michezo Afrika ambapo Mheshimiwa Waziri Mchengerwa alicheza nambari tisa katika timu mojawapo.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya matunda katika eneo la Shule ya St. Constantino, Arusha, kabla ya mechi ya kirafiki ya viongozi hao iliyochezwa jioni ya leo Agosti 10, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments