CCM YATOA TAARIFA KWA WANACHAMA WAKE KUHUSU KUFANYIKA VIKAO VYA KAWAIDIA VYA UONGOZI NGAZI YA TAIFA JIJINI DODOMA.

 

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwataarifu wanachama wake na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC).





TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments