Recent-Post

CHONGOLO AONGOZA HAFLA YA CHANGIZO LA SADAKA KUKAMILISHA UJENZI WA KANISA LA KKT MAFINGA

 


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo juu ya maendeleo ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Maandalio ya Mufindi kutoka kwa Mchungaji Dkt. Anthony Kipangula (kushoto) wakati wa hafla ya Changizo ya Sadaka ya ukamilishaji ujenzi wa Kanisa hilo ambao Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi alikuwa mgeni rasmi na kuwezesha kuchangisha zaidi ya shilingi za Kitanzania milioni 214.Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Maandalio ya Mufindi wakishiriki Katika ibada hiyo iliyoambatana na harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo juu ya maendeleo ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Maandalio ya Mufindi kutoka kwa Mchungaji Dkt. Anthony Kipangula (kushoto) wakati wa hafla ya Changizo ya Sadaka ya ukamilishaji ujenzi wa Kanisa hilo ambao Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi alikuwa mgeni rasmi na kuwezesha kuchangisha zaidi ya shilingi za Kitanzania milioni 214.

Post a Comment

0 Comments