MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA CCM, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOM

   

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 26 Septemba, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments