Recent-Post

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA

 MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa White House Jijini Dodoma leo 27-9-2022, na (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu) MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa White House Jijini Dodoma leo 27-9-2022.(Picha na Ikulu) MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa White House Dodoma akihudhuria Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo 27-9-2022 katika ukumbi huo na (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu) 


MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa katika ukumbi wa White House Dodoma kuongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 27-9-2022 na (kulia ) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.( Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments