RAIS SAMIA APEWA HAKI YA UKAAZI MANISPAA YA MAPUTO NCHINI MSUMBIJI

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea funguo pamoja na nyaraka nyingine kutoka kwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche kama ishara ya kuwa na haki ya Ukaazi kwenye Manispaa hiyo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea funguo pamoja na nyaraka nyingine kutoka kwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche kama ishara ya kuwa na haki ya Ukaazi kwenye Manispaa hiyo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kukabidhiwa funguo pamoja na nyaraka nyingine kama ishara ya Ukaazi kwenye Manispaa hiyo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche katika ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Maputo nchini Msumbiji kabla ya kuhutubia Viongozi mbalimbali nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche mara baada ya kutembelea ofisi hizo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kutembelea Ofisi hizo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments