RAIS SAMIA AWAAGIZA WAKUU WA MIKOA KUSIMAMIA LISHE BORA

 Wakuu wa Mikoa wakiweka saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.

    

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala pamoja na Watumishi wa Serikali mara baada ya kuweka saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika leo Septemba 30,2022 jijini Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa mara baada ya kuzindua mpango wa ugawaji wa magari pamoja na pikipiki yatakayotumika kwenye Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma uliopo Mtumba Mkoani humo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa, Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ugawaji wa magari pamoja na pikipiki yatakayotumika katika mpango wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma uliopo Mtumba Mkoani humo.

    

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali yanayohusiana na Sekta ya Afya na Lishe kabla ya kushiriki hafla ya uwekaji wa saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la DodomaMakatibu Tawala pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla ya uwekaji wa saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

 

Wakuu wa Mikoa wakiweka saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini moja ya mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la DodomaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha moja ya mikataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe mara baada ya kuusaini katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la DodomaWakuu wa Mikoa wakiwa kwenye hafla ya uwekaji wa saini mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe, Mtumba Jijini Dodoma  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Mtumba kwa ajili ya kushiriki hafla ya uwekaji wa saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments