Zungu Awapongeza Viongozi Wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Iddi Zungu ameupongeza uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuleta mapinduzi makubwa katika sekta hizo ikilinganishwa na vipindi vilivyopita.

Mhe. Zungu ametoa kauli hiyo bungeni leo Septemba 16, 2022 baada ya Naibu Waziri kumaliza kujibu maswali bungeni.

"Mtu isijuone una mwili mkubwa ukajiona ni boksa mzuri, Mhe Naibu Waziri nakupongeza sana kwa kweli wizara yenu toka umeanza wewe waziri wako na makatibu wakuu wawili mmeleta uhai mkubwa sana kwenye wizara. " Amesisitiza Mhe. Zungu

Baadhi ya mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi hiki ni pamoja na Mhe. Zungu awapongeza viongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Iddi Zungu ameupongeza uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuleta mapinduzi makubwa katika sekta hizo ikilinganishwa na vipindi vilivyopita.

Mhe. Zungu ametoa kauli hiyo bungeni leo Septemba 16, 2022 baada ya Naibu Waziri kumaliza kujibu maswali bungeni.

"Mtu isijuone una mwili mkubwa ukajiona ni boksa mzuri, Mhe Naibu Waziri nakupongeza sana kwa kweli wizara yenu toka umeanza wewe waziri wako na makatibu wakuu wawili mmeleta uhai mkubwa sana kwenye wizara. " Amesisitiza Mhe. Zungu

Baadhi ya mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi hiki ni pamoja na kufanikisha timu nne za michezo kuingia kwenye mashindano ya kidunia kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Tanzania.

Timu hizo ni timu ya Wanawake ya Soka U 17 ya Serengeti, Timu ya Soka (wanaume) ya watu wenye Ulemavu ya Tembo Warriors na timu mbili za mchezo wa kabbadi.

Na John Mapepele

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments