Recent-Post

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MRADI WA MAJI NA KITUO CHA POLISI WILAYANI RUANGWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa mradi wa maji wa kijiji cha Namahema B wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi, Oktoba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi, Oktoba 2, 2022. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi, Oktoba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Post a Comment

0 Comments