MJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM RAIS DKT. MWINYI ASHIRIKI UCHAGUZI WA CCM WA VIONGOZI WA NGAZI YA WILAYA

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi huo leo 2-10-2022.(Picha na Ikulu) MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani, uliofanyika katika ukumbi huo leo 2-10-2022.(Picha na Ikulu) MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.(Picha Ikulu) WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi ya Wilaya ya Amani wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuzungumza na Wajumbe baada ya kumaliza kupiga Kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wengizi wa ngazi ya Wilaya, uliofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa leo 2-10-2022.(Picha na Ikulu) 


MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib, wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Ngazi Wilaya ya Amani Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini leo 2-10-2022.(Picha na Ikulu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments