Totoe Pongezi Kwa Wamiliki Wa Kiwanja Cha Liti Mkoani Singida ,Haijakuwa Sawa Kwa Asilimia Mia Moja Lakini Ni Sehemu Nzuri Kwa Kucheza Mpira.
Tusisubiri Kusema Viwanja Vikiwa Vibovo
Hapa Singida Wamejitahidi Sanaa Na Wanastahili Pongezi
Kauli Ya Kocha Mkuu Wa Yanga Nasreddine Nabi
0 Comments