CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MKOA WA SINGIDA KIMEKUWA CHAMA CHA MFANO KWA MPIRA ...

                                     
Chama cha  Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida  (SIREFA)Kimekuwa Chama Cha Mfano Kwa Vyama Vingine  Vya Mikoa  Kwa Kufanya Mashindano Mbali Mbali Yakiwemo Na Ya Wanawake  Kila Mwaka.

Kauli Imesema Na Afisa Wa Michezo Mkoa Wa Singida Bw, Amani Mwaipaja Baada Ya kupokea  Taarifa ya Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida(SIREFA) Wakati Akiendelea Na Ziara  Ya Kutembelea Vyama Vya Michezo Mkoani humo.

Afisa Michezo Mkoani Singida Bw Amani Mwaipaja Amekipongeza Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkao Wa Singida Kwa Kuendelea Kusimamia Michezo Kwa Kunzangatia Sheria na Kwa Kushirikiana Na Serikali Kwajili Ya Masilahi Mapana Ya Jamii Na Taifa Kwa Ujumla.

Aidha Bw. Mwaipaja Ameeleza Mikakati Mbali Mbali Ya serikali na Amesama kuwa Vyama Vya Michezo Vinapaswa Kuendelea Kujifunza Mambo Mbali Mbali Ya Utawala Katika Shughuli Zao Za Kila Siku, Iili Kwenda Na Wakati.
 
Kwa Upande Wa Mwenyekiti Wa Chama Hicho Bw. Hamisi Kitila Amefurahishwa Na Ziara Ya Ofisi Ya Mkuu Wa Mkoa Kufika Katika Ofisi Zake Na Kupokea Miongozo Mbali Mbali Iliyotolewa Na Serikali Kwajili Ya Jamii Na Taifa Kwa Ujumla.

Juma Mwendwa Ni Katibu Wa Chama Hicho Ameeleza Chngamoto Mbali Mbali Zinazo Wakabili Wakati Wa Kazi Zao    Za Kila Siku Wakati Akisoma Taarifa Kwenye Ziara Ya Ofisi Ya Mkuu Wa Mkoa Ya Kutembelea Vya Vya Michezo Mkoani Singida 
                                                              
Afisa Michezo Mkoa Wa Singia Amani Mwaipaja
                                          

Mwenyekiti Wa Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida Bw. Hamisi Kitila
Katibu Wa chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida Bw Juma Mwendwa Kikao Kikiendelea

                                                   
  Shabani Salehe Mjumbe Wa Kamati Tendaji Ya (Sirefa)
                                         

Hamisi Rashidi aliefalia Kanzu Nyeupe Wakiwa Na Afisa Michezo Wa Manispaa Ya Singida Bw. Samweli Mwaikenda  Wakisiliza Kwa Makini Katika Kikao Kazi Cha Ofisi Ya Mkoa Katika Ziara Inayondelea Ya Kutembela Vyama Vya Michezo Mkaoni Singida
Abdul Bandola Afisa Habari Wa Sirefa Wakiwa Na Security Offiser Wa Sirefa Bw. Enock  Sozi Wakati Kikao Kazi Kikiendelea

Kikao Kikiendelea 
                              


Na Abdul Bandola Singida.


    





TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments