MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA MPANDA, NSIMBO NA TANGANYIKA MKOANI KATAVI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika Mkoani Katavi, kwenye ukumbi wa Mpanda Social Hall, Disemba 12, 2022. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika Mkoani Katavi, kwenye ukumbi wa Mpanda Social Hall,

 

Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika Mkoani Katavi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Mpanda Social Hall (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments