Rais Samia amlilia Pele, atuma salamu za pole Brazil

Rais Samia Suluhu Hassan leo Desemba 30, ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro kufuatia  kifo cha aliyekuwa mchezaji nguli wa mpira wa miguu wa nchi hiyo Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’ aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 82.

Taarifa za kifo cha mwanasoka huyo mwenye rekodi ya kushiriki kombe la dunia mara nne na kushinda mara tatu akiwa na timu yake ya Brazil, ilithibitishwa jana na binti yake Kely Nascimento kwenye  mtandao wake wa Instagram.

Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii aliandika ”Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwanasoka wa Karne kutoka Brazil, Edson Arantes do Nascimento “Pelé”.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments