Recent-Post

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON NCHINI MAREKANI

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera ndani ya ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani wakati wa mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani unaoendelea.

     

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kulia) akisikiliza kwa makini Hotuba ya Rais wa Marekani Mhe. Joe Biden (Kushoto) alipokua akizungumza na Viongozi wa Afrika katika ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani.

Post a Comment

0 Comments