Katika mjadala huo, watu mbalimbali waliuchambua mwaka huu kwa matukio yaliyotikisa kiuchumi, kisiasa na kijamii na miongoni mwa mambo ambayo yalizungumziwa ni kupaa kwa bei za vyakula.
Wadau hao wamebainisha hayo juzi kwenye mjadala wa Mwananchi Twitter Space, unaoandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) chini ya mada iliyokuwa ikihoji: “Mwaka 2022 ulikuwaje kwa Watanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii?”

0 Comments