MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) 2022

 

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2022


MATOKEO YA MTIHANI WA CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) 2022, YAMETANGAZWA RASMI
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani. 

Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Athumani Amasi.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments