Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza matembezi wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo yaliyo wajumuisha Viongozi mbali mbali na Vikundi vya mazoezi kuanzia Tibirinzi mpaka Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakinyoosha Viungo katika baada ya matembezi ya Tamasha la Bonanza la michezo yaliyofanyika leo kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
Baadhi ya Vikundi vya mazoezi vikipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (hawayupo pichani) wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika leo kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chakechake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.


0 Comments