Kitua Cha Afya Ngimu Cha Mtoa Machozi Mwenyekiti CCM (M) Singida Bi. Ma...

       

 
Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida Bi Martha Mlata amesikitishwa na Kitendo Cha Viongozi mbali mbali kwakushindwa kumalizia kituo cha Afya Ngimu Katika Halmashauli Ya Singida Dc, Kilichojengwa Kwa Nguvu Ya Wananchi  Mpaka Hatua ya Lenta.

Kauli Hiyo Imesema  Na Mwenyekiti Wa CCM  Mkoa Wa Singida Bi Martha Mlata Wakati Wa Ziara Ya Kmati Ya Siasa Mkoa Wa Singida Ya Ukaguzi Wa Utekelezaji Wa  Ilani Ya CCM.

Bi Martha Mlata Ameele kuwa Ni Miaka 13 Sasa Imepita Bila Kuwa Na Muundelezo Wowote Wa Kituo Hicho Cha Afya Kilichopo Ngimu Ktika Halmashauli Ya Singida Dc Mkoani Mkoani Singida.

Kwa Nyakati Tofauti Wajumbe Na Viongozi Mbali Mbali Wa Kamati Ya Siasa Wameonyesha Masikitiko Makubwa BaadaYa Kufika Katika Eneo Hilo.

Kwa Upande Wa Mnec Bw. Yohana Msita Amempongeza Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida Kwa Kuamua Kwenda Kutembelea Mladi Huo ,Kwani  Msita Ameeleza Kuwa Ni Mnec Kwa sasa Ni Mwaka Wa Sita alikuwa Hajawahi Kufika Katika Mladi Huo Hivyo Mwenyekiti Umefanya Kitu Kikubwa Sana, Asema Mseta.

Post a Comment

0 Comments