MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAHAWA CHA GDM MKONI SONGWE - 2

 

Waziri Mkuu, Kassim Mkajaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Mwangoka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe kuhusu uoteshaji miche ya kahawa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Februari 14, 2023. Kulia ni Afisa Uhusiano wa kiwanda, Loveness Joshua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Mwangoka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe kuhusu kahawa iliyokoborewa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Februari 14, 2023. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments