MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA ZA MJI MKWAJUNI WILAYANI SONGWE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara za mji wa Mkwajuni wilayani Songwe akiwa katika ziara ya Mkoa wa Songwe, Februari 13, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara za mji wa Mkwajuni wilayani Songwe, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Kipande cha barabara za mji wa Songwe ambazo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments